Mahubiri na Shuhuda
Get Adobe Flash player

Shukrani

Ndugu wapendwa,

Nawasalimuni nyote katika jina la Yesu. Kwa niaba ya huduma ya MGMT napenda  kuwashukuru wale wote waliojitoa kwa ajili ya kuchangia huduma ya Ngara mkoani Kagera iliyofanyika  kuanzia tarehe 20-28/3/2016. Walishiriki kufanya kazi pamoja nasi kwa njia ya changizo lao  kwani Biblia inasema, wataendaje wasipopelekwa? Rum 10:17.

Mungu awabariki sana kwa ajili ya changizo lenu, mzidi kutenda kazi ya Mungu kila moja atalipwa kwa wakati wake tusipozimia roho. Gal 9:7.

Katika upendo wa Yesu,

Mwj. Moses Malugu.

Leave a Reply

Jiunge

Weka barua pepe yako kupokea Ujumbe wa Neno la Mungu

Aina za Mada
Mada kwa Mwezi