
Timuya Wainjilisti wa huduma ya MGMT wakisherehekea miaka 10 tangu huduma ilipoanzishwa mwaka 1997 Oct 31. Hapa walikuwa wanasheherekea kutimiza miaka 10 mnamo tarehe 31/10/2007.
Wito wetu/Mwaliko.
Huduma MGMT inawaalika na kuwakaribisha wale wote ambao wana wito unaolingana na huduma hii, kwa mtu binafsi, mashirika ya ndani na nje, taasisi za kidini, makanisa, marafiki, wandugu na wadada ili tuifanye kazi hii pamoja kwani hakuna mtu awezaye kufanya kazi ya Mungu akiwa peke yake akaweza.Yoh 17:21
-Tunahitaji maombi toka kwa watu mbalimbali ambao Yesu atawagusa ili tuweze kufanya kazi hii ya Mungu kwa unyenyekevu na kwa utukufu wa Mungu kama mtume Paulo alivyosema…Ndugu,tuombeeni 1 The 5:25.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana kwa anwani ifuatayo:
Mkurugenzi:
THE MINISTRY OF GOD’S MESSAGE TANZANIA,
S.L.P.12271, ARUSHA
Ofisi:Jengo la OTTU, chumba no 132 &133 block “B” gorofa ya kwanza.
Simu:+255-0784-517603, 0715-517603, 0759-357561.
E-mail:mgmtza@hotmail.com