Mahubiri na Shuhuda
Get Adobe Flash player

Mkutano wa Injili-Kagera

Ndugu wapendwa katika Kristo Yesu,

Bwana Yesu asifiwe!

Nitakuwa na mkutano wa injili utakaofanyika Ngara mkoani Kagera  kuazia tarehe 20-27/3/2016 kwa ajili ya pasaka. Ninahitaji maombi yako kwa ajili ya mkutano na mimi pia, tuko na timu. Lakini pia tunahitaji changizo lako kama Bwana akikupa neema, kwani kuna gharama za muhimu za mkutano. Unaweza kutuma changizo lako kwenye no hizi za simu: M-pesa 0759-357561,tigo pesa 0715517603, Airtail money 0784517603. Barikiwa na Bwana,

Mwj Moses Malugu.

Leave a Reply

Jiunge

Weka barua pepe yako kupokea Ujumbe wa Neno la Mungu

Aina za Mada
Mada kwa Mwezi