THE MINISTRY OF GODíS MESSAGE WEBSITE

Search

Go to content

Shuhuda

  • Mwaka 2002, mama mmoja aliokoka kwenye mkutano na kutoa ushuhuda jinsi alivyokuwa mchawi kwa miaka 43.Akiwa katika uwanja wa mkutano akizindika dawa zake ili watu wasiokoke wala kupokea uponyaji,alishikwana nguvu za Mungu mpaka asubuhi alipokuwa akiwa uchi.Alisema kuwa alikuwa na wenzake ambao walitoroka baada ya kuzidiwa na nguvu za Mungu.Baada ya kupokea sala ya toba alikubali kuokoka na kuleta zana ďzake za kaziĒ vikateketezwakwa moto, akabatizwa na kuwa mkristo.
  • Mwaka 2004, Mungu alimponya binti aliyekuwa hapati choo kubwa kwa muda wa miaka mitatu, lakini alikuwa akila na kunywa bila kujisaidia na hakufa.tulipomfanyia maombi, mapepop yalitimka ndani yake yakidai kuwa ndiyo yalyokuwa yakila uchafu tumboni.


  • Mwaka 2005, mama mmoja aliyekuwa ameolewa na jini na kuzaa nalo mtoto kilema,alifunguliwa na kuachwa huru kwa jina la Yesu,baadaye motto alitoweka katika mzaingira ya kutatanisha baada ya huyo mama kufunguliwa.


  • Mwaka 2007,watu waliokoka bila kuhubiriwa injili.Wakati mhubiri wa injili anajiandaa kuhubiri, mama mmoja alienda mbele na kumwambia kuwa nanataka kuokoka.Mhubiri alimwambia arudi na kuahidi kuwa atamwita baadaye. Aliposimama, alimwita mama huyo na kutangaza kuwa kama kuna mtu yeyote atakayependa kumsindikiza mama mhuyo ili aokoke aje mbele.Wakati wombo wa kuabudu ukiimbwa, watu wengi walikuja mbele kwa machozi, wakihitaji kuokoka. Mhubiri aliwaongoza sala ya toba nawengine walipokea uponyaji wakati ule ule, na baada ya dk 15, mkutano uliahirishwa na watu wakarudi nyumbani wakiwa wameokoka na kesho yake walihudhuria semina kwa ajili ya kufundishwa neno la Mungu. Katika kijiji kile karibu watu robo tatu ya watu waliookoka kwenye mkutano ule wamesimama.Sifa kwa Bwana Yesu.


Mwanzo | Kuhusu Huduma | Kazi za Huduma | Shuhuda | Vipaumbele | Namna ya Kushiriki | Bajeti | Site Map


Back to content | Back to main menu