THE MINISTRY OF GOD’S MESSAGE WEBSITE

Search

Go to content

Kuhusu MGMT

Kuhusu Huduma

KUHUSU HUDUMA

IMANI YETU:
- Tunaamini kwamba kuna kuzaliwa mara ya pili kwa njia ya kukiri na kumwamini Yesu kuwa Bwana na mwokozi wetu (kuokoka)Rumi 10:10
- Tunaamini juu ya Utatu Mtakatifu na utendaji wake
- Tunaamini ufufuo wa Yesu Kristo na kuwa kuna hukumu ya mwisho kwa kila mwanadamu alioko juu ya uso wanchi
- Tunaamini kuwa kuna haja ya kila mtu kuisikia injili habari njema iletayo wokovu kabla ya kurudi kwa Yesu mara ya pili Mat 24:14
- Tunaamini ubatizo wa maji na wa Roho Mtakatifu Yoh 3:1-7,Yoh 1:33.
- Tunaamini Biblia ni neno la Mungu lililo hai, na mtu akiliamini atapata uzima ndani yake.

MTAZAMO WA HUDUMA:
- Tunatamani kila mtu afikiwe na injili habari njema kwenye mikutano ya injili, masokoni,kwenye stendi za magari,nyumba kwa nyumba na kuwafanya watu wengi kuwa wanafunzi wa Yesu zaidi Yoh 4:35
- Kufanya kazi ya kuzishauri ndoa ili ziwe na amani kwani ndizo hasa zinajenga msingi wa kanisa,
- Kuhakikisha kuwa vijana wanapata mafundisho mazuri ya kuwajenga ili wawe kanisa bora la baadaye,
- Kujitahidi kuwatunza yatima, wasiojiweza,masikini,wenye njaa wanapata huduma inayotakiwa.

Evangelism Team

Evangelism Team Celebrating 10 years of MGMT anniversary on 31st October 2007

Some times in the rural areas we travel by “the cattle pulling” when there’s no transport. You can see these bags, “ready to go” to another place. We really need our own transport to reach in such areas

One of the air meeting in the rural areas. People hangary for the word of God

Mwanzo | Kuhusu Huduma | Kazi za Huduma | Shuhuda | Vipaumbele | Namna ya Kushiriki | Bajeti | Site Map


Sub-Menu:


Back to content | Back to main menu