THE MINISTRY OF GOD’S MESSAGE WEBSITE

Search

Go to content

Kazi za Huduma

Ev. Moses Malugu preaching in different ministry events in Tanzania

Watu wengi wameokoka kwenye mikutano ya injili, semina mbalimbali,uinjilisti wa nyumba kwa nyumba, na mtu kwa mtu.wengi wamefunguliwa kutoka katika nguvu za giza, na kuponywa magonjwa sugu yaliyowatesa kwa muda mrefu kwa jina la Yesu Kristo.
Ndoa nyingi “zimepona” kwa jina la Yesu na kuwa na ushuhuda mzuri kwa ajili ya Kristo.mialiko mingi sana nchini jambo ambalo limetufanya tuwe na muda mdogo sana “wa kupumzika”. wengi wamejiunga na huduma hii kwa njia mbalimbali kama ambavyo nitazitaja hapa chini.


IDADI YA MIKUTANO NA SEMINA ZA NENO LA MUNGU TULIZOKWISHAKUFANYA KUANZIA:
,tulifanya mikutano 19 na semina 26.Jumla ya watu 3,800 waliokoka. Wagonjwa wapatao 282 waliombewa na kupokea uponyaji.mikutano 15 ya injili na semina 23. Watu 4,776 waliokoka, wagonjwa 116 waliombewa na kupokea uponyaji.mikutano 9 ya injili, semina 13,watu waliookoka ni 224,wagonjwa 60 waliombewa wakapokea uponyaji.

MAENEO TUIYOYAHUDUMIA:

Tuliweza kuhudumia maeneo yafuatayo kwa injili na mafundisho:
Vijijini, shule za msingi, Sekondari, Vyuo na makanisa mbalimbali.
Masomo yaliyofuyndishwa ni pamoja na:
Ukimwi, semina ya vijana, kuijua imani ya kikristo na kumtumimia, na mengineyo.


Mwij. Moses E. Malugu akiwa anaandaa masomo ya kurusha hewani kupitia radio

Mwanzo | Kuhusu Huduma | Kazi za Huduma | Shuhuda | Vipaumbele | Namna ya Kushiriki | Bajeti | Site Map


Back to content | Back to main menu