THE MINISTRY OF GOD’S MESSAGE WEBSITE

Search

Go to content

MAKADIRIO YA BAJETI KWA MWAKA 2010-2011

UTANGULIZI:

Makadirio ya Bajeti ya huduma yanalenga kutaka kuhakikisha malengo ya huduma yanafikiwa kwa ajili ya uhai wa huduma yenyewe na kuhakikisha ufalme wa Mungu unaenezwa kwa kila kiumbe. Marko; 16:16

Huduma hii imagewanyika katika Vitengo 4 vya utendaji na matumizi yameelekezwa, upangaji wa bajeti kwa vitengo unawiana kulingana na uzito na vipaumbele vilivyoelekezwa kwa mwaka huu wa 2010.

VITENGO VIKUU KATIKA HUDUMA NI PAMOJA NA;
Utawalaya Jamiinakwa Waislamu

(1)
UTAWALA:
Kitengo hiki kinashughulikia mambo yote ya utawala, uratibu wa
Mawasiliano na mipango yote ya huduma, ili kuhakikisha majukumu
yote yanatekelezwa bila migongano.

(2)
UINJILISTI:
Kitengo hiki ndio hasa uti wa mgongo wa huduma, kwa kuwa
imebeba jukumu zito la huduma nzima, tukizingatia kwamba ndani ya
kitengo hiki utendaji wa huduma umebebwa kwa asilimia kubwa.

(3)
HUDUMA YA JAMII
Kitengo hiki kinashughulikia masuala ya kimwili yanayohusu jamii
ikiwa ni pamoja na Elimu, Afya na mahitaji mbalimbali yanayohusu
jamii katika maisha ya kila siku. Yakobo; 2:15

(4)
UINJILISTI KWA WAISLAMU
Kitengo hiki kinashughulika na mafunzo ya semina kwa Wachungaji wa madhehebu mbalimbali jinsi ya kuwafikia waislamu kwa njia ya mahubiri na mafundisho ya neno la Mungu wapate kuokolewa.

(I) UTAWALA:
1. Kodi ya ofisi 50,000 x miezi 12 = shs………. 600,000/=
2. Umeme/maji 25,000 x miezi 12 = shs………. 300,000/=
3. Karatasi/shajala = shs………. 300,000/=
4. Usafiri = shs………. 150,000/=
5. Mawasiliano 50,000 x miezi 12 =shs……….. 600,000/=
6. Gharama ya Vikao =shs………. 300,000/=
7. Dharura =shs………. 150,000/=
8. Ununuzi wa samani:

(i) Meza 2 x 50,000 = shs……… 100,000/=
(ii) Computer 1 = shs……… 800,000/=
(iii) Viti 4 x 25,000/= = shs……….. 100,000/=
(iv) Calculator = shs……… 15,000/=
(v) Shelve = shs……… 100,000./=
Jumla ndogo = shs. ...... 3,515,000/=

2. KITENGO CHA UINJILISTI

2.1 Mikutano:
2.1.1. Kukodi vyombo 150,000 x 8 siku x 5 = 6,000,000/=
2.1.2 Nauli/wahudumu 15,000 x watu 3x2x6 = 540,000/=
2.1.3 Posho 5,000 x watu 10 x siku 8x5 = 2,000,000/=

2.2. Semina:
2.2.1 Kukodi vyombo 50,000 x siku 8 x semina 6 = 2,400,000/=
2.2.2 Nauli 15,000 x watu 3 x siku 8 x 6 = 540,000/=
2.2.3 Posho 5,000 x watu 3 x siku 8 x 6 = 720,000/=

2.3 Uinjilisti kwa Radio (dakika 30) 150,000xwiki 52 = 7,800,000/=
2.4 Kununua tracks, vitabu, Bibilia = 800,000/=
2.5 Mafunzo kwa Wainjilisti = 500,000/=
2.6 Ufuatiliaji baada ya Uinjilisti = 2,000,000/=
Jumla ndogo = 24,760,000/=

3. KITENGO CHA HUDUMA YA JAMII
3.1 Gharama ya Elimu kwa watoto yatima:
3.1.1 Ada Form 1 - IV Watoto 5 x 200,000/= = 1,000,000/=
3.1.2 Mavazi " 5 x 50,000/= = 250,000/=
3.1.3 Madaftari/vitabu " 5 x 50,000/= = 250,000/=

3.2 Wajane na maskini = 1,000,000/=
3.3 Semina za Ukimwi - semina 6 x 200,000/= = 1,200,000/=
Jumla ndogo = 3,700,000/=

KITENGO CHA UINJILISTI KWA WAISLAMU
4.1 Vitabu, tracks, Biblia = 500,000/=
4.2 Nauli - watu 2 x 15,000/= x 4 = 120,000/=
4.3 Posho " 2 x 5,000/= siku 5 x 4 = 200,000/=
4.4 Dharura = 180,000/=
Jumla ndogo = 1,000,000/=

JUMLA KUU = 32,975,000/=MIPANGO YA MAENDELEO:
Huduma hii ya MGMT ina mpango wa kuanzisha radio ya Kikristo ambayo itakuwa Mkoani Singida, lengo ikiwa ni kuwafikia watu wengine zaidi kwa neno la Mungu. Makisio ya jumla ya gharama ya kuanzisha kituo yanafikia kiasi cha Tshs. 70,000,000/= (millioni sabini).

VIFAA VIFUATAVYO VINAHITAJIKA:

1. EXITER 1 , FM TRANSMITER 500 W/Z KWTS
2. AMPLIFIRE
3. STL
4. ANTENNA
5. SPICITEN
6. FEEDER CABLE
7. CONNECTIONS
8. TOWEN
9. BROADCAST PA I W 1 OR 2 KW FM AMPLIFIRE
10. STL LINK BW BROADCAST T X 25 BAND I STEA-10
11. ANTENNA RF TECHN/QUES 1.5
12. CONJOLE MIXER & OXYGEN
13. MICROPHONE B 2

VIFAA VYA STUDIO:
1. AUDIO CONDOLEA MIXEA
2. MICRO PHONES
3. COMPUTERS
4. G.D PLAYER (DECKS)
5. SOUND PROOF MATIHANALS
6. D J PLAYER
7. NYUMBA KWA AJILI YA RADIO STATION

MAPATO:
Ili iweze kujiendesha yenyewe MGMT inategemea michango ya watu mbalimbali kufanikisha majukumu yake kama yalivyoonyeshwa hapa chini.

1. Wafadhili na marafiki waliopo nchini
2. Sadaka za kwenye mikutano na semina
3. Michango toka kwa wanachama wa MGMT
4. Michango toka vikundi vya makanisa mbalimbali
5. Uuzaji wa vitabu na maandiko.

Huduma inapenda kuwashukuru wale wote wanaoendelea kuitegemeza kwa kila hali. Mungu awabariki.

Majukumu yamezidi kuongezeka, tunamshukuru Mungu kwa hilo. Tunatoa wito kwako uendelee kuiunga mkono huduma hii kwa maombi. Kwa wewe ambaye hujaifahamu huduma hii na unahitaji kujiunga, tunaomba mchango wako ili sote kwa pamoja tuujenge ufalme wa Mungu.

Unaweza kutuma changizo lako kupitia anwani hii;

The Ministry of God's Message
AC NO. 0IJI20434029100
CRDB Bank
Tawi la Arusha


MUNGU AKUBARIKI

Mwanzo | Kuhusu Huduma | Kazi za Huduma | Shuhuda | Vipaumbele | Namna ya Kushiriki | Bajeti | Site Map


Back to content | Back to main menu