Teachings and Testimonies
Get Adobe Flash player

Nimerudi Arusha

Wapendwa katika Bwana,

Napenda kuwataarifu kwamba huduma ya Singida imemalizika vema, na watu wengi wamepokea mafundisho mazuri ya kuwaimarisha kiroho. Nawashukuru wale wote walioniombea na kuiombea huduma. Wiki ijayo nitaelekea Mwanza kwa ajili ya huduma nyingine ya wiki nzima kuanzia tarehe 10-17/5 kisha nitaunganisha na huduma nyingine  Singida vijijini  mpaka tarehe 24/5. Mungu awabariki sana.

Katika upendo wa Yesu,

Mwj. Malugu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

twelve − 10 =

Subscribe

Enter your email address to receive the God's Message to your inbox

Categories
Archives