Teachings and Testimonies
Get Adobe Flash player

Niko Arusha

Wapendwa  watu wa Mungu,

Ninamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kumaliza mzunguko wa huduma niliounza tangu tarehe 2/1   -5/2/ 2016 kwa kuanza na Iringa na Dar kwenye maeneo tofauti. Kila nilipofanya huduma ya semina za neno la Mungu hakika nilimwona Mungu akitenda. Baada y akufika Arusha niliugua homa ya Typhoid na malaria nilitibiwa  na madaktari kwa  wiki nzima  hatimaye nikapoke uponyaji.  Najiandaa kwenda Hydom wiki ya mwisho wa mwezi huu kwa ajili ya kufundisha semina ya vijana na waimbaji, nitakua huko kwa juma zima. Nahitaji sana maombi yako.

Mungu akubariki tuzidi kuombeana,

Mwj. Malugu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

1 × two =

Subscribe

Enter your email address to receive the God's Message to your inbox

Categories
Archives