Teachings and Testimonies
Get Adobe Flash player

malugu

NLc

Ndugu wapendwa,

Ninawasalimu katika jina la Bwana Yesu. Niko Dodoma kwenye conservation ya NLC ambayo inaanza Jumapili ya tar 26-3/7. Tutakuwa na mikutano mbalimbali katika wilaya ya Dodoma. Tutakuwa na  uinjilisti wa nyumba kwa nyumba. Tunahitaji maombi yako kwani tuka kama Wainjilisti 400 hivi. Barikiwa,

Mwj Malugu.

seminar

Hallow Bro then,

I am greeting you in the name of the Lord Jesus Christ. We were at Singida region  Mazangiri village for the seminar of five days from 4th-8th/5.The seminar ended peacefully, we were really blessed. I would like to thank everybody who prayed for us and who contributed for the seminar. We are now at Arusha ready for another in June, I will let you know the date.

Be blessed all of you,

…Ev. Moses Malugu.

 

Evangelism trip to Singida

My brother ans sisters in Christ Jesus,

I am greeting you in the name of Jesus Christ our personal savior.

We will be traveling to Singida  region at  Kinyambuli village, Mazangiri area for the crusade from 1-8/5/2016. We will travel with our vehicle with 5 evangelists.   We are asking you for your prayer and contribution to cover some expenses  as we are going to unreached . If the Holy Spirit touches you     you can share the blessings through this  numbers m-pesa 0759-357561, airtail money 0784-517603, tigo pesa 0715517603.

God bless you,

Evg Moses E. Malugu.

Habari

Wapendwa katika Kristo Yesu,

Ninawasalimu katika jina la Yesu. Niko Arusha, nina udhaifu wa mwili ninahitaji maombi yenu ili nipokee uponyaji niendelee na  kazi ya kumtumikia Mungu,

Mbarikiwe sana,

Mwj Malugu.

Niko Arusha

Wapendwa  watu wa Mungu,

Ninamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kumaliza mzunguko wa huduma niliounza tangu tarehe 2/1   -5/2/ 2016 kwa kuanza na Iringa na Dar kwenye maeneo tofauti. Kila nilipofanya huduma ya semina za neno la Mungu hakika nilimwona Mungu akitenda. Baada y akufika Arusha niliugua homa ya Typhoid na malaria nilitibiwa  na madaktari kwa  wiki nzima  hatimaye nikapoke uponyaji.  Najiandaa kwenda Hydom wiki ya mwisho wa mwezi huu kwa ajili ya kufundisha semina ya vijana na waimbaji, nitakua huko kwa juma zima. Nahitaji sana maombi yako.

Mungu akubariki tuzidi kuombeana,

Mwj. Malugu.

Back from Kondoa

Dear Brothen

Praise the Lord. I would like  to inform you that we are back from Kondoa mission from 3rd to 11th/Oct 2015, it’s not easy to work in that area because of the Islamic  spirit religion.  We thank the Lord for those who gave life to Jesus and all who send their contribution and pray for us. From 18th to 25th  I am going to be at Meru area for the seminar. Please pray for me as well.

God Bless you,

 

….Moses

News

I had an motorcycle accident on July 22and while I was at Singida for the crusade. From that time I had to rest at home treating injuries. But now I am ok, I expecting to travel to Kondoa  for the crusade which will start from 4th to 11th  of October . We need your prayers and contribution for any amount from your heart.

Be Blessed,

Evg Moses Malugu.

 

Safari ya Mwanza

Ndugu wapendwa, katika  Kristo Yesu,

Ninamshukuru Mungu anavyotupigania kila siku. Ile  huduma ya mkoani Mwanza kwenye kanisa la AICT iliyokuwa ianze tarhe 10-17/5, imeahirishwa, itafanyika kwa muda mwingine utakaopangwa hapo baadaye. Lakini kuna huduma nyingine inayofanyika kuanzia tarehe 24-31/5 huko Moshi eneo la West Kilimanjaro. Nahitaji maombi yenu.

Mbarikiwe na Bwana.

Mwj Malugu.

Nimerudi Arusha

Wapendwa katika Bwana,

Napenda kuwataarifu kwamba huduma ya Singida imemalizika vema, na watu wengi wamepokea mafundisho mazuri ya kuwaimarisha kiroho. Nawashukuru wale wote walioniombea na kuiombea huduma. Wiki ijayo nitaelekea Mwanza kwa ajili ya huduma nyingine ya wiki nzima kuanzia tarehe 10-17/5 kisha nitaunganisha na huduma nyingine  Singida vijijini  mpaka tarehe 24/5. Mungu awabariki sana.

Katika upendo wa Yesu,

Mwj. Malugu.

Semina-Singida

Wapendwa katika Kristo Yesu,

Nawasalimu katika jina la Yesu. Nilikuwa Singida kwa huduma ya siku tatu, katika kanisa moja mjini Singida. Ilikua nzuri sana na Mungu alituhudumia kwelikweli. Nimerudi Arusha najiandaa kwa semina nyingine wiki ijayo. Nawashukuru kwa wale wanaotuchangia kwa fedha na mali zao kwa uaminifu.Tuzidi kuombeana.  Barikiwa.

Mwj.Malugu.

Subscribe

Enter your email address to receive the God's Message to your inbox

Categories
Archives